Sunday, April 5, 2015

Prof. Kaijage declares new ways to rift up Tanzanian economy...

Njia pekee ya kuongeza ajira kwa vijana na kuinua uchumi wetu ni kutia mkazo katika kilimo cha umwagiliaji ili tatizo la mfumuko wa bei kwa vyakula huweze kupungua na kuzuia uingizaji holela wa Michele kutoka china, Vietnam na Thailand. Haiza mavuno yakiwa mengi tutapata hifadhi kubwa ya chakula na ghafi zitakazo inua na kufufua viwanda hasa urafiki, bukopu, tanica, mwatex,kilitex, na kutengeza nafac kubwa za ajira kwa vijana ambalo linaonekana kuwa tatizo sugu. Kwa njia hii dola 1 itakuwa sawa na 1300tsh badala ya 1890tsh.

No comments:

Post a Comment