Sunday, January 26, 2014

Mbinu za kufaulu mtihani wa kidato cha pili St. Anthony's mbagala

Ni shule iliyoko wilaya ya temeke ijulikanayo kama st. Anthony imeweza kufaulisha wanafunzi wa kidato cha pili ktkt mtihani wao wa taifa kwa grade . A ,B, C ni wanafunzi watatu tu waliopata grade D nao walikuwa na matatizo ya kifamilia. Tunampongeza mkuu wa shule hiyo brazza ismail. Mungu ibariki itanzania mungu ibariki Afrika.

No comments:

Post a Comment