Wednesday, January 29, 2014

Wayaudi wamekufa wengi zaidi ya milioni 6 fuatilia kisa

Taklibani wayaudi 1500000 waliuawa kuanzia mwaka 1933 hadi 1940s huko ugeruman hasa baada ya kuisha kwa utawala wa Brigadia Otto Von Hindernberg na kuanza kwa utawala wa Adolf Aloyce Hitler, wayaudi waliingizwa kwenye chumba maalumu (gas room chamber) kwa hawamu. Kila hawamu waliingizwa wayaudi takribani 2000 kwenye chumba chenye gesi ya sumu kali.baada ya kuuawa maiti zao zilitolewa meno, na mizoga yake ilikaushwa na kukamuliwa mafuta kwa ajili ya kulainisha mashine viwandani na nywele zao zilitumika kutengeneza mito ya kulalia. Wayaudi hao inaonesha kuwa walihama toka mashariki ya mbali (middle east) na kuzamia central and eastern europe kutafuta maisha kwenye karne ya 8 hadi ya 10. Kweli walifanikiwa na wakawa matajiri wakubwa sana huko prussia ambayo ni ujeruman ya sasa. Kisa cha wayaudi kuuwawa na Hitler 1. Walimsababisha Adolf Hitler kuishi maisha magumu ya kuuza post kadi na mapambo huko viena akiwa mdogo baada ya kuzembea vifo vya wazazi wake wote pindi wayaudi wakiwa wauguzi hospitalin, 2. Walimnyima nafasi ya masoma hitler ktk chuo cha sanaa ingawa alikuwa anaweza kuchora 3. Waliisariti ujerumani pindi vita ya kwanza ya dunia ikiendelea mnamo mwaka 1914-18. 3. Waliwanyonya wazaliwa asiria wa ujerumani kana kwamba ngazi zote za juu zilikaliwa na wayaudi. Hivyo kisa cha ujerumani kushindwa vita ya kwanza kilichangiwa sana na wayaudi hivyo ikawa adhabu yao ni kifo na kufukuza nchini. Hizi ndizo sababu baadhi za kiistoria juu ya vifo vya wayaudi (jews olocust) huko prussia. Kaijage, T.(2014). Bakoba growth. Daressalaam. Kabone publisher.......

No comments:

Post a Comment